Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Mhe. Mutamba Jean Pierne, wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini Kwake Ikulu Dar es salaam leo.
Hadithi Nzuri Yaangazia Vijana wa Tanzania Wasiopewa Msaada wa Kutosha,
Ikitoa Wito kwa Wahisani Kujitokeza Zaidi
-
Taasisi inayojihusisha na harakati za kijamii inayojulikana kama Hadithi
Nzuri, kwa kushirikiana na kampuni ya WeMedia, imetekeleza tukio la WE GIVE ...
9 minutes ago
No comments:
Post a Comment