Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kula kiapo cha Utii mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu Dar es salaam leo.
Picha ya pamoja.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.