Matembezi yaliyoshirikisha wadau mbalimbali ya sekta ya Afya kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho yaliyoshirikisha wadau wa Taasisi mbalimbali za sekta ya Afya kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho yaliyoshirikisha wadau wa Taasisi mbalimbali za sekta ya Afya kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi, maadhimisho hayo yamefanyika jana March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua mpango mkakati wa miaka mitano wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi kwenye maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwendesha Mashitaka katika Mahakama ya Kimataifa Jaji Hassan Jallow wakati Jaji Jallow alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwendesha Mashitaka kwenye Mahakama ya Kimataifa Jaji Hassan Jallow, wakati Jaji Jallow alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam kwa ajili ya kumuaga baada ya kuishi Tanzania kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment