Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akimkabidhi tuzo yake aliyoipata nchini Japan, Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka, ikiwa ni tuzo ya mshindi wa tatu katika mashindano ya Lake Biwa Marathon yaliyofanyika nchini Japan hivi karibuni.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka, pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kia akitokea nchini Japan alikoibuka na ushindi wa tatu. Picha na Dixon Busagaga
No comments:
Post a Comment