Mfungaji wa bao la Yanga, Donald Ngoma (kulia) akiwachachafya mabeki wa APR, na kufunga bao pekee la Yanga katika dakika ya 28, baada ya mkali huyo kupokea pasi nzuri kutoka kwa Thaban Kamusoko na kuwalamba chenga mabeki na kuachia shuti kali lililomshinda kipa wa APR, Jean Claude Ndoli. Bao la APR lilifungwa na Fiston Nkinzigabo katika dakika ya tatu.
Kwa ushindi huo wa jumla ya mabao 3-2 unaivusha Yanga katika hatua ya pili na kusubiri mshindi kati ya Al Ahly Sporting Club na Clube Recreativo Desportivo Do Libolo unaopigwa leo kuanzia majira ya sa 12 jioni hii.
Matokeo mengine ya Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameibuka na ushindi wa Mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union, huko kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Matokeo mengine ya Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameibuka na ushindi wa Mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union, huko kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Amis Tambwe, akijaribu kumtoka beki wa APR, ....
Donald Ngoma, akishangilia bao lake alilofunga katika dakika ya 28 kipindi cha kwanza...
Donald Ngoma, akimkumbatia kocha wake, Hans Van Der Pluijm, baada ya kufunga bao la kusawazisha.
**************************************
RATIBA YA MECHI ZA LEO
Referees: Andrew Juma Otieno (KEN) - Tony KIDIYA (KEN) - Joshua ACHILA (KEN) | Stadium: Stade RABEMANAJARA , MAHAJANGA (MAD)
Referees: HAILEYESUS BAZEZEW BELETE (ETH) - Kinfe YILMA (ETH) - WOLDAY Haileraguel (ETH) | Stadium: Prince Louis RWAGASORE , Bujumbura (BDI)
Referees: Samuel CHIRINDZA (MOZ) - Teofilo Paulo MUNGOI (MOZ) - Olivio SAIMONE (MOZ) | Stadium: DENIS SASSOU NGUESSO , DOLISIE (CGO)
Referees: Bernard CAMILLE (SEY) - Eldrick ADELAIDE (SEY) - Gerard POOL (SEY) | Stadium: National Stadium , Dar Es Salaam (TAN)
Referees: Mohamed Abd Elmenem EL HANAFY (EGY) - Ayman DEGAISH (EGY) - Diaaeldin Ismail Mohamed Sakran (EGY) | Stadium: Stade Olympique de Sousse , Sousse (TUN)
Referees: TBD | Stadium: Borg el arab , Alexandria (EGY)
Referees: Bakary Papa GASSAMA (GMB) - Sulayman SOSSEH (GMB) - Yaya FANNEH (GMB) | Stadium: PETRO SPORT , Cairo (EGY)
Referees: Thierry NKURUNZIZA (BDI) - Jean Claude BIRUMUSHAHU (BDI) - Hervé KAKUNZE (BDI) | Stadium: El Merriekh Stadium , Khartoum- Sudan (SDN)
Niyonzima akijaribu kumhadaa, beki wa APR.....
Ngoma akidhibitiwa na mabeki wa APR.....
Kamusoko akiwania mpira na mchezaji wa APR.....
Amis Tambwe, akimtia njaa beki wa APR......
Kipa wa APR, akipangua mpira wa hatari langoni kwake.....
Ngoma akimiliki mpira.......
Ngoma akiwania mpira na beki wa APR.....
Godfrey Mwashiuya, akiwatoka mabeki wa APR.....
Mwashiuya akimtoka beki wa APR....










No comments:
Post a Comment