Habari za Punde

*ZANZIBAR HALI SI SHWARI???????

Askari wakishuka ndani ya gari kwa ajili ya kutuliza ghasi eneo la Kijichi mjini Zanzibar jana baada ya kutokea hali ya sintofahamu ambapo watu wasiojulikana walirusha bomu ndani ya nyumba ya Kamishna Mkuu wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame
Kamishna Mkuu wa Polisi Zanzibar.
Polisi wakifyatua mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi...
Mkusanyika wa watu....
Mshangao ama action????

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.