Habari za Punde

*BREAKING NEEEEWZZZ!!!! KIKAO CHA BUNGE CHAVUNJIKA,BUNGE LAAHIRISHWA

BREAKINGNEWS: Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bila kujali itikadi zao za Kisiasa wameamua kutoka nje ya Uumbi wa Bunge jambolililopelekea kuahirishwa kwa kikao cha Bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge hilo kukataa kauli ya Serikali kuhusu kujadiliwa kwa tukio la kusimamishwa wanafunzi zaidi ya 7,000 wa Chuo cha Dodoma.

Wabunge wakiondoka ndani ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya Naibu Spika kutangaza kuahirisha shughuli za Bunge leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.