Habari za Punde

*STARS ILIPOTOKA SARE NA HARAMBEE NYUMBANI KWAO JANA

 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Elias Maguli (Kulia) akichuana na David Odhiambo wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi Kenya. timu hizo zilitosahana nguvu kwa kutoka sare ya 1-1.
Winga wa Taifa Stars, Shiza Kichuya (kushoto) akichuana kuwania mpira na Joakins Atudo wa Harambee Stars, wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.