Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA YANGA WANAONGOZA BAO 2- AZAM FC 1

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, akishangilia bao lake alilofunga katika kipindi cha kwanza akiunganisha mpira wa krosi iliyopigwa na beki wa kulia, Juma Abdul, na bao la pili akifunga katika kipindi cha pili kwa shuti. Hivi sasa ni kipindi cha pili

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.