Daktari
Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa Dk.Richald Gellman kutoka Califonia - San
Fransisco Marekani (kushoto), akiwaonesha kifaa Chuma kinacho
tumika kufanya marekebisho ya mifupa iliyo pinda baada ya kuunga vibaya
au kutounga kabisa, madaktari mbalimbali kutoka nchi mbalimbali za Kenya, Burundi, Rwanda, Zambia, DRC Congo, Nigeri, Zimbabwe na wenyeji
wao Madaktari wa Taasisi hiyo waliohudhuria Mkutano huo utakaomalizika
Juni 3, 2016, katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa
Ubongo na Mifupa ya Fahamu Muhimbili (MOI) Dar es Salaam leo.
Baadhi ni vifaa vya kufanyia kazi hiyo
Mafunzo yakiendelea.....
Madaktari Bingwa wakiwa katika chumba cha mikutano katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi, leo...
Umakini wa mafunzo.....
Madaktari Bingwa wa Taasisi hiyo wakifuatilia mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment