Habari za Punde

*BALOZI MASILINGI AZUNGUMZA NA WATANZANIA WA JUMUIYA YA KIISLAMU WAISHIO WASHINGTON DC


Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi, dakizungumza na Watanzania wa Jumuiya ya Kiislamu, Tanzanian Muslim Community (TAMCO) mara baada ya Iftar ilioandaliwa rasmi na jumuiya hiyo, Siku ya Jumamosi July 2, 2016 ndani ya ukumbi wa Lawndale Dr. Silver Spring, Maryland U.S

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.