Habari za Punde

*IBRA POZA NAYE AMEREMETA USIKU HUU KAMA MWANA FA, AUAGA UKAPERA RASMI, SHEREHE JULAI 30

 Bwana Harusi Ibra Poza akiwa na wapambe wake, Abui Seif (kushoto) na Amour Hassan, wakati wa Hafla ya Ndoa yake iliyofungwa usiku huu nyumbani kwa Bi Harusi, Saade, huko maeneo ya Fuoni mjini Zanzibar. Naye mpambe wa Bw. Harusi Amour Hassan (kulia) naye anatarajia kufunga ndoa kesho huko huko mjini Zanziba na Sherehe ya Maharusi hao inatarajia kufanyika jijini Dar es Salaam, Julai 30 mwaka huu.
 Bwana Harusi Ibra Poza, akiwa na mkewe Saade, baada ya kufunga ndoa yao huko maeneo Fuoni mjini Zanznibar usiku huu.
 Ibra Poza akipozi na mkewe Saade
 Picha za kumbukumbu na baadhi ya wanafamilia.
Picha ya kumbukumbu na baadhi ya wanafamilia.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.