Habari za Punde

*KANALI MSTAAFU NA MCHAMBUZI WA MASUALA YA HABARI NA JAMII AWAASA WATANZANIA

 Kanali mstaafu na mchambuzi wa masuala ya Habari na jamii  Dkt Haruni Kondo Akisistiza Jambo Mbele Ya Waandishi Wa Habari Hawapo Pichani Wakati Wa Mkutano Aliofanya Kuzungumzia Uzalendo Na Kupongeza Juhudi Za Rais John Pombe Magufuli. Leo Jijini Dar Es Salaam.
Waandishi Wa Habari wakimsikiliza  Kanali mstaafu na mchambuzi wa masuala ya Habari na jamii  Dkt Haruni Kondo hayupo pichani Wakati Wa Mkutano Aliofanya Kuzungumzia Uzalendo Na Kupongeza Juhudi Za Rais John Pombe Magufuli. Leo Jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.