Habari za Punde

*KATIBU MKUU UCHUKUZI APOKEA VIKOMBE VYA MEIMOSI

 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho kulia akopokea moja baadhi ya vikombe 11 ambavyo timu ya uchukuzi imeshinda katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mapema mwezi mei mkoani Dodoma, anayemkabidhi ni Katibu wa Uchukuzi Sports Club Bw. Alex Temba.
 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho kulia akopokea cheti cha ushiriki wa  mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mpema mwezi  mei mkoani Dodoma, anayemkabidhi ni Katibu wa Uchukuzi Sports Club Bw. Alex Temba.
 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho kulia akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Katibu wa Uchukuzi Sports Club Bw. Bw. Alex Temba mara baada ya kupokea vikombe 11 ambavyo timu ya uchukuzi imeshinda katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mpema mwezi mei mkoani Dodoma, kati ya hivyo vikombe 5 vilitolewa na Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli vikiwa ni ushindi wa kwanza katika netball Kamba,Baiskeli na Bao. 
 Katibu wa Uchukuzi Sports Club Bw. Alex Temba akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho kabla ya kumkabidhi baadhi ya vikombe 11 ambavyo timu ya uchukuzi imeshinda katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mapema mwezi mei mkoani Dodoma katikati ni Mkurugenzi waUtawala  na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho aliyeshika Kikombe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu ya Uchukuzi Sports Club mara ya kupokea vikombe na vyeti vya ushindi wa timu hiyo katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mapema mwezi mei mkoani Dodoma. Picha na Benjamin Sawe- Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.