Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akizungumza na Meneja Masoko na Muendeleo ya Bidhaa wa Benki ya 'DCB Commercial Bank' Boyd Mwaisame wakati alipotembelea kwenye Banda la Benki hiyo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba). Makamu wa Rais pia alipata maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na DCB. Wa pili kutoka (kulia) ni Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh. Charles Mwijage.
Afisa wa DCB Bank Bi. Loyce Rwiza akitoa maelezo kuhusu huduma ya Agency Banking kupitia Mawakala (DCB Jirani) kwa wananchi waliotembelea banda la benki hiyo viwanja vya sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Wananchi waliotembelea banda la DCB Bank kujionea na kununua bidhaa za asili zinazotolewa na wajasiriamali waliowezeshwa na DCB Commercial Bank.
No comments:
Post a Comment