Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Nipashe Amour Haasan, akimuombea dua mkewe, baada ya kufunga ndoa jana usiku huko mjini Zanzibar. Sherehe ya ndoa hiyo inatarajia kufanyika jijini Dar es Salaam,Julai 30.
Bw. Harusi Amour Hassan akipozi na mkewe kwa furaha, baada ya kufunga ndoa jana.
Baadhi ya wanafamilia wakipiga picha za kumbukumbu
Baadhi ya wanafamilia wakipiga picha za kumbukumbu




No comments:
Post a Comment