Habari za Punde

*NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AZINDUA HUDUMA YA UKATAJI TIKETI ZA MABASI YA MIKOANI KWA NJIA YA SIMU 'Tiketi Rafiki'

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki inayotolewa na kampuni ya Global Light company mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo mikoani kwa njia ya simu ya mkononi ijulikanayo kama Tiketi Rafiki mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo inayotoa huduma ya Global Light Company Bw. Raymond Magambo. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.