Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie Leutier aliyemtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016. Kushoto ni Mwakilishi wa Benki hiyo nchini, Bi. Tonia Kandiero.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimwangalia Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie Leutier, wakati akisaini kitabu alichotunga kabla ya kumkabidhi Rais alipomtembelea Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea kitabu kutoka kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie Leutier, alipomtembelea Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie Leutier, na ujumbe wake aliyemtembelea Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo. Wa tatu kutoka (kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, wa tatu (kulia) ni Mwakilishi wa Benki hiyo nchini, Bi. Tonia Kandiero, (kulia) ni Mchumi Mkuu kutoka Idara ya Fedha za Nje Bw. Johannes Jovin akifuatiwa na Mkrugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Wizara Mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy. Kushoto ni Mshauri wa Rais, Profesa Longinus Rutasitara akifuatiwa na Mshauri wa Rais masuala ya Diplomasia Balozi Zuhura Bundala
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie Leutier aliyemtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016. Katikati ni Mwakilishi wa Benki hio nchini, Bi. Tonia Kandiero. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment