Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA ZA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba,alipowakumbusha  majukumu yao na kuwataka wafanye  kazi sheria na taratibi kwa kazi iliyopo sio kufanya kazi kwa mazoea, aliyasema hayo leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
 Washauri wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein wakiwa katika mkutano uliofanywa  na Rais kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambao mkutano huo umewataka  wakuu hao kutekeleza majukumu yao kama sheria za Utumishi zinavyoeleza na sio kufanya kazi kwa  mazoea
 Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kukumbushwa majukumu yao katika  maeneo yao ya kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Unguja na Pemba,alipowakumbusha  majukumu yao na kuwataka wafanye  kazi sheria na taratibi kwa kazi iliyopo sio kufanya kazi kwa mazoea, aliyasema hayo leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na IKULU Zanzibar

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.