Habari za Punde

*UFUNGUZI WA TAMASHA LA MZANZIBAR

Wasanii wa Jeshi la mafunzo Zanzibar wakicheza ngoma ya Mkurungu yenye asili ya kjijiji cha Nungwi Wilaya Kaskazini A. Unguja wakati wa ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari lililofunguliwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe, Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi, Michenzani Mjini Zanzibar.
Akina mama waliovalia vazi la asili ya Mzanzibari wakati wa sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari lililofanyika leo katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi.
 Wasanii mbali walioimba wimbo wa Kipindupindu mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibar liliofungulia leo  kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar akitoa maelzo kuhusu Tamasha la Mzanzibari wakati wa Ufunguzi wa tamasha hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed kwa niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar
 Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari wakifuatilia kwa makini hotubaya iliyotolewa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed   kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 Baadhi ya wananchi walihudhuria katika ufunguzi wa Tamasha la mzanzibari walipokuwa wakiangalia burudani mbali mbali zilizotolewa na vikundi vya wasanii katika ufunguzi huo uliofanyika leo katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi,Michenzani Mjini Zanzibar. Picha na Ikulu Zanzibar

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.