Mdau wa muziki wa dansi, na Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka akizungumza katika mkutano na Mkuu wa Mkoa wa Dar esSalaam, jijini Dar es Salaam leo kuhusu Tamasha hilo litakaloshirikisha Bendi maarufu za muziki wa dansi nchini kwa ajili ya harambee ya kuchangia madawati. Tamasha hilo linatarajia kufanyika siku ya Jumamosi kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jiji Dar es Salaam.
Mwanamuzi Ali Choki akiwaongoza wenzake kutoa burudani mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipofika ofisini kwake leo, kuzungumzia Tamasha la muziki huo litakalofanyika Jumamosi Viwanja vya Leaders ambalo litashirikisha bendi 10 maarufu za hapa nchini.
No comments:
Post a Comment