Habari za Punde

*WAZIRI UMMY MWALIMU AKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WALIOFANYA VIZURI KAMPENI YA USAFI

 Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu akitoa zawadi za cheti na Pikipiki  kwa washindi wa jumla kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini ambao ni  wawakilishi wa kijiji cha Matiganjora Kata ya Ikuna Mkoa wa Njombe wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam.

 Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu akimkabidhi Mwenyekiti wa kijiji cha Matiganjora Mkoa wa Njombe Bw. Laston Mwinami funguo ya gari kama zawadi ya kushinda tuzo ya kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu akiongea na wadau mbalimbali waliofanya vizuri ngazi ya Wilaya na Halmashauri  kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini hawapo pichani  wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu wa (kushoto) akimkabidhi tuzo ya heshima Mwakilishi wa Familia ya marehemu Sarah Dumba aliyekuwa Mhariri na mtangazi wa RTD wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam
Wadau mbalimbali waliofanya vizuri ngazi ya Wilaya na Halmashauri  kwenye kampeni ya kutunza usafi wa mazingira na Afya nchini wakimsikiliza kwa makini Mgeni rasmi Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Bi. Ummy Mwalimu hayupo pichani  wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao jijini Dar es salaam. Picha zote na Ally Daud- maelezo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.