Habari za Punde

*TAMASHA LA SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA DAR, SIMBA WANAONGOZA 1-0 DHIDI YA FC LEOPADS

 wanamuziki na wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta,wakishambulia kwa pamoja wakati wa Tamasha la Simba Day Uwanja wa Taifa jijini Dar re Salaam,mchana wa leo kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Fc Leopads mchezo unaoendelea hivi sasa huku Simba wakiongoza bao 1-0 lililofungwa na Ibrahim Ajib katika dakika ya 38.
 Sehemu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza katika Tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.