Gari kubwa aina ya Hino likiwa limepiga mweleka maeneo ya baada ya Same ambapo haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo na majeruhi katika ajali hiyo kutokana na kutokuwapo mtu yeyote katika ajali hiyo hadi inanaswa na kamera ya Mafoto Blog.
Chaliiiiii



No comments:
Post a Comment