Wachezaji wa Azam Fc wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ambapo wameanza kujifua kwa staili ya aina yake kwa wachezaji kupewa dozi mara tatu kwa siku.
Agrey Morris akipasha
Maelekezo kwa makipa ......
Wakishow love......
Mazoezi ya viungo yakiendelea
No comments:
Post a Comment