Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo (wa pili kulia) akishiriki kunywa chai na Mihogo na baadhi ya Viongozi Nyumbani kwa Balozi wa Shina Na. 2 Wilayani Ukerewe wakati akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Kanda ya Ziwa.
Habari : Dkt. Biteko Ahimiza Utekelezaji wa Maazimio ya Vikao vya Kimkakati
vya Weneyviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi
-
-Awakumbusha kuhusu dhamana waliyobeba ya kubadili maisha ya watanzania
kupitia mtaji wa shilingi Trilioni 86 waliopewa
-Afunga Kikao kazi cha Tatu cha W...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment