Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa Mke wake Mama Janeth Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita leo Julai16, 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa waumini mbalimbali waliohudhuria ibada kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita leo.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha kwa kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwashukuru waumini walioshiki kuchangia ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita,ambapo zilikusanywa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni kumi na tatu pamoja na ahadi mbalimbali za vikiwemo vifaa vya ujenzi. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment