Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani nchini,Dk. Inmi
Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo, Marilyn
Gayton(kulia), walipomtembelea ofisini kwake
kujadili masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama,jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto ni Katibu wa Waziri,Nelson
Kaminyoge.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akimsikiliza Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia) alipomtembelea ofisini kwake kujadili Masuala ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu
Nchemba, akimsikiliza Naibu Balozi wa
Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia) alipomtembelea ofisini kwake kujadili Masuala ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam
leo.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Masuala ya Ulinzi na Usalama.Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment