Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo. Picha na IKULU
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA MOJA ZAKUSANYWA UJENZI WA OFISI YA CCM WILAYA
YA TUNDURU
-
Zaidi ya Shilingi milioni mia moja na mchango wa vifaa vya ujenzi, ikiwemo
saruji zimepatikana katika harambee ya uchangiaji wa ujenzi wa ofisi mpya
ya kis...
53 minutes ago

No comments:
Post a Comment