Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC) Abia Richard, akizungumza na wanafunzi wa darasa la sita na tano katika Shule ya Msingi Tandika, wakati kituo hicho kilipofika kutoa elimu ya mafunzo ya Sheria za watoto, ambapo pia aliongozana na maafisa Ustawi wa Jamii. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mafunzo hayo.
Afisa Ustawi wa Jamii Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC) Rachel Kalile, akitoa mada kwa wanafunzi hao
Afisa Ustawi wa jamii, Magreth Njau, akijitambulisha
Afisa Ustawi wa Jamii Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC) Rachel Kalile, akigawa kalamu kwa wanafunzi wa darasa la sita na tano katika Shule ya Msingi Tandika, wakati kituo hicho kilipofika kuendesha mafunzo ya Sheria za watoto jijini Dar es Salaam,leo mchana
No comments:
Post a Comment