Habari zilizotufikia hivi punde chumba cha habari cha mtandao huu zinasema kuwa Shule ya Sekondari ya Korigwe Girls iliyoko Korogwe mjini Wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga, inaungua moto muda huu. Mpaka tunawaletea habari hii hewani bado haijaweza kufahamika chanzo cha ajali ya moto huo. Kaa nasi hapo baadaye tutawaletea habari kamili.
KAMPUNI YA RADDY ENERGY YA TANZANIA KUNUNUA MITAMBO YA UZALISHAJI UMEME
KUTOKA KAMPUNI YA SIEMENS YA USWIDI
-
*Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka
kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy
Energ...
7 hours ago

No comments:
Post a Comment