Gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T 747 BDB likiwa limeanguka mtaroni na kuharibika vibaya eneo la Mbezi Beach Tangbovu baada ya kugona na gari ndogo aina ya Harrier usiku wa kuamkia leo, ambapo imeelezwa dereva wa gari ndogo alifariki papo hapo.
Wananchi wakiangalia gari hilo....




No comments:
Post a Comment