Kutoka uwanja wa Taifa mchezo ni kipindi cha pili huku Al Masri wakiongoza mabao 2-1 ambapo simba ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kwa mkwaju wa penati, na dakika moja baada ya penati hiyo. KAA NASI KWA MATOKEO KAMILI YA MTANANGE HUU HAPO BAADAYE
TARURA YAPEWA TUZO KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA SEKTA YA UCHUKUZI
-
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imepewa tuzo ya kutambua
mchango wake katika maendeleo ya sekta ya uchukuzi nchini.
Tuzo hiyo imekab...
36 minutes ago

No comments:
Post a Comment