Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi wengine wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia
ya wananchi wa Uyovu mkoani Geita kabla ya kufungua rasmi wa Barabara ya Uyovu-
Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa
kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasa;omoa wanakwaya wa Baraka walipokuwa wakitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa Nyakayondwa Bangwa mkoani Geita wakati akielekea Uyovu
kwa ajili ya ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Sehemu ya Barabara ya
Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi
wa Uyovu mara baada ya kufungua Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
PICHA NA IKULU









No comments:
Post a Comment