TIMU ya Taifa ya Tanzania usiku huu imepoteza mchezo wake wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Algeria mchezo uliopigwa nchini humo. Mabao ya Algeria yamefungwa na Baghdad Bounedjah katika dakika ya 13 na 80, Beki wa Stars Shomari Kapombe aliyejifunga dakika ya 43 na Carl Medjan dakika ya 52, huku bao pekee kwa Stars likifungwa na Simon Msuva dakika 20.
CAF Yaruhusu Milango Wazi: Mashabiki Kuingia Bure Viwanjani AFCON 2025
-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki
kuingia bure kwenye viwanja vinavyohodhi mechi teule za Kombe la Mataifa ya
Afrika...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment