Papy Tshishimbi akiwania mpira na beki wa Township, wakati wa Mchezo wa Klab Bingwa, uliochezwakwenye Uwanjwa wa Taifa jijini Dar es Salaam, jioni ya leo. Katika mchezo huo Yanga wamekubali kichapo cha mabao 2-1.
Hassan Kessy akikosa bao
Buswita akimtoka beki waTownship




No comments:
Post a Comment