Promota wa mchezo wa ngumi, Evalist Ernest (katikati) akiwatambulisha mabondia, Iddi Mkwera (kushoto) na Ramadhani Shauri baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Mei 5 mwaka huu katika ukumbi wa Uwanja wa ndani wa Taifa, pambano la raundi 10.
Mabondia Haidar Mchanjo (kushoto) na Amani Bariki 'Manny Chuga' wakitambulishwa
Bondia Said Chino (kushoto) akitambiana na Hamza Mchanjo
Bondia Karimu Ramadhani (kushoto) akitambiana na James Kibazange
No comments:
Post a Comment