Naibu Waziri wa
Ujenzi Elias Kwandikwa, akihutubia viongozi na wajumbe wa baraza la wafanyakazi
wakati akifunga kikao cha pili cha baraza hilo kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kushoto), akizungumza na wajumbe wa baraza hilo kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, kufunga kikao cha siku ya pili cha baraza hilo, mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa
Ujenzi Elias Kwandikwa (kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wa baraza la
wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga
(kushoto), kabla ya kufunga baraza hilo lililokutana kwa siku mbili, mkoani
Morogoro.
Baadhi ya wajumbe
wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya
Ujenzi), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (hayupo pichani),
wakati akifunga kikao cha siku ya pili ya baraza la wafanyakazi kilichofanyika
mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa
baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
(Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (kulia), akimsindikiza Naibu
Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (kushoto), mara baada ya kufunga kikao cha
siku mbili cha baraza la wafanyakazi
mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Sekta ya Ujenzi mara baada ya kufunga kikao cha baraza hilo kilichofanyika mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment