Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli azindua Rada mbili (2) za kuongozea ndege za Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanajaro (KIA). Hafla inayofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam .
TBS YAIMARISHA USIMAMIZI WA MATUMIZI YA NISHATI KUPITIA VIWANGO
-
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuchukua hatua madhubuti
katika kuhakikisha matumizi bora na salama ya nishati nchini kwa kuandaa
viwango vya...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment