Habari za Punde

MADEREVA WA BODABODA WASHINDI WAKABIDHIWA FEDHA ZAO ZA KUPIGA MIAMALA MINGI YA MASTER CARD QR

 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Kwa Azizi Ali, Mwanamama Buyegi Mhuli, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Masawe. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Kwa Azizi Ali, Mwanamama Buyegi Mhuli, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Masawe..
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Moroco, Abdallah Said, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda wa Mkoa wa dar es Salaam, Michael Masawe.
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Kwa Azizi 
Ali, Mengison Tarimo, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha 
Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Masawe (kulia) ni Mjumbe wa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Temeke, Ally Mgagi.
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Kwa Azizi Ali, Slim Ally Kasanga, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, Michael Masawe.
 Picha ya pamoja na washindi wa Mtoni kwa Azizi Ali.
 Gari la matangazo likiwa kazini kuhamasisha watu kujisajili na Master Card QR.
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Moroco, Khalfan Kaniki, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda wa Mkoa wa dar es Salaam, Michael Masawe. 
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Moroco, Shabani 
Sangandara, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha 
Bodaboda wa Mkoa wa dar es Salaam, Michael Masawe.
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Moroco, Abdallah 
Said, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha 
Bodaboda wa Mkoa wa dar es Salaam, Michael Masawe.
 Meneja Mahusiano wa Kitengo cha Kazi Benki ya NMB, Yusuph Achayo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu Sh. 50,000/= Dereva wa Bodaboda wa Kituo cha Moroco, Imani 
Magita, ambaye ni mshindi wa wa kufanya miamala mingi kwa kulipwa nauli na mteja wake kupitia huduma mpya ya Master Card QR. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha 
Bodaboda wa Mkoa wa dar es Salaam, Michael Masawe.
 Picha ya pamoja na washindi wa Kituo cha Moroco.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.