Habari za Punde

JAY JAY WA TOT PLUS MZEE WA MBEZI AZIKWA LEO

 MKURUGENZI wa bendi ya TOT Plus, Gasper Tumaini na Katibu wa Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifamba (walioshika machepe) wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga Kinanda wa Bendi ya TOT Plus, Marehemu Jumua Jerry almaarufu (Jay Jay) wakati wa shughuli ya maziko yaliyofanyika katika makaburi ya Mzee Yasini yaliyopo Mbezi juu jijini Dar es Salaam leo mchana. (Picha na Muhidin Sufiani)
 MWANAMUZKI Thabiti Abdul (kushoto) na baadhi ya waombolezaji wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga Kinanda wa Bendi ya TOT Plus, Marehemu Jumua Jerry almaarufu (Jay Jay) wakati wa shughuli ya maziko yaliyofanyika katika makaburi ya Mzee Yasini yaliyopo Mbezi juu jijini Dar es Salaam.
 MKURUGENZI wa bendi ya TOT Plus, Gasper Tumaini (wa kwanza kulia) na Katibu wa Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifamba (kushoto) wakiomba dua pamoja na baaddhi ya waombolezaji wakati maziko ya aliekuwa mpiga kinanda wa bendi ya TOT Plus, Juma Jerry almaarufu Jay Jay) yaliyofanyika katika makaburi ya Mzee Yasini yaliyopo Mbezi juu jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifamba (katikati) akizungumza na wakazi wa Mbezi Juu baada ya kukamilisha shughuli ya maziko ya aliyekuwa mpiga Kinanda wa TOT Plu, Juma Jerry, (Jay Jay) yaliyofanyika katika makaburi ya Mzee Yasini Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
Mneki wa mkoa wa Dar es Salaam, Yusuph Nassor, akimkabidhi sehemu ya mchango Kaka wa marehemu, baada ya maziko.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.