Habari za Punde

WASHINDI WA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU KWA NJIA YA MTANDAO WAKABIDHIWA ZAWADI

Mgeni rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mussa Azan Zungu, akimkabidhi zawadi ya Sh 700, 000 mshindi wa kwanza, kwa upande wa wanaume, Omar Abdallah,  wa mashindano ya Quraan kwa njia ya Mtandao yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika katika ukumbi wa Arnatoglou jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Sheik wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Mratibu wa mashindano ya Quran kwa njia ya Mtandao, Mohamed Abdallah (kulia) akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa mashindano ya Quran kwa wanawake, Aisha Faki Juma, yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika katika ukumbi wa Arnatoglou jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Balozi wa Tuzo za Kimataifa za Quran Tukufu 2020, Zena Abubakar.
 Sheikh Mohamed Nassor, akisoma Quran wakati wa haflahiyo.
 Waratibu wakiwa bize kukamilisha baadhi ya majambo
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuhifahisha Quran Tanzania, Sheikh Othman Ali Kaporo, akisoma hotuba yake wakati wa hafla hiyo.
 Mratibu wa mashindano hayo, Saleh Omar, akizungumza jambo kuhusu taratibu zilizotumika kuwapata washindi wa mashindano hayo.
 Mgeni rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mussa Azan Zungu, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
 Zawadi zikitolewa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.