Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AMUAPISHA SULEIMAN AHMED SALEH KUWA KATIBU WAKE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Suleiman Ahmed Saleh, kuwa Katibu wa Rais wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar  leo 7/11/2020, na (kushoto kwa Rais ) ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi  na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Mzee. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Katibu wa Rais, Suleiman Ahmed Saleh baada ya kumuapisha leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya uaisho na kumpongeza Katibu wa Rais. Suleiman Ahmed Saleh  baada ya kumuapisha leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Familia ya Katibu wa Rais Suleiman Ahmed Saleh, wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwake  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi
RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitambulishwa  kwa familia ya Katibu wa Rais. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.