Ofisa Mtendaji mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, aikiwasilisha mada yake kwa washiriki wa hafla kuwatunuku Wanawake Viongozi (Financial Woman Award) iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, jana usiku Machi 25.
Sehemu ya washiriki wa hafla hiyo kutoka kampuni na maofisi mbalimbali
Ofisa Mtendaji mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, aikiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NMB, alipokuwa akizungumza kushukuru baada ya kutunukiwa Tuzo ya kuwa Ofisa Mtendaji mkuu wa Benki wa mwaka (Bank CEO of The Year) wakati wa hafla ya kuwatunuku Wanawake Viongozi (Financial Woman Award) iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, jana usiku Machi 25.
Washiriki wakichangia mada na kutoa maoni mbalimbali
CEO Ruth akiendesha mjadla ukumbuni hapo
Washiriki wakiwa makini mkumsikiliza Madam \Ruth
Picha ya pamoja na mgeni rasmi, Angela Kairuki
Baadhi ya wafanyakazi kutoka kampuni ya KPMG wakishiriki hafla hiyo
No comments:
Post a Comment