Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoka Chama cha Chadema wameazimia kwenda mikoani na kuzungumza na wanachama wa chama hico ikiwa ni kwa ajili ya kupinga maamuzi ya Chama chao kuwapiga Stop na suala lao kutinga Mahakamani kwa kile kilichodaiwa kutotambuliwa uwepo wao ndani ya Vikao vya Bunge. Hata hiyvo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amesema hawezi kutangaza nafasi 19 za Wabunge hao wa Viti Maalum wa HADEMA kuwa wazi, mpaka hapo Mahakama itakapotoa Maauamuzi.
CCM wilaya ya mbogwe walia na tozo mazao ya chakula kwa wakulima.
-
Wananchi na Wakulima katika Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita
wamewalalamikia viongozi wao wa kata kwa kushindwa kudhibiti Baadhi ya
watumishi...
15 minutes ago
No comments:
Post a Comment