Habari za Punde

MASHOGA WAMWAGA RADHI I ONYESHO LA ZANZIBAR STARS

Hata mimi nishindwe nina nini.................Mwimbaji wa Kundi la Taarab la Zanzibar Stars, Hassan Ally, akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa onyesho maalum la kutambulisha albam mpya na mafanikio ya kundi hilo tangu lilipoanzishwa, lililofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni. Picha na (SPM)

Wacha niwanyeshe mbuno langu, hilo jibaba kaa Selena William haliniwezi.....Shoga aliyetajwa kwa jina moja la juma akimwaga radhi ukumbini.

Na bado utanikoma leo mpaka ukimbie humu ukumbini mbona unazidi kutokomea pembeni, hii masine kubwa....
Ehee unarudi ee ngoja niongeze staili mupya zinazowapagawishaga kina.......

Sio kama nataka kupaa ila ni manjonjo tu watu wangu nishangilieni basi sinakaribia kuwafunika mashoga...?
Unaimba bomba sana Serengeti boy,ukishuka jukwaani nitafute nimekaa laleeee.......
Haya naondoka hivyo zingatia nilokuambia usijekosa bahati yako eeeh.......
Naona hujanielewa narudi ili unielewe ok!
We dada mie huniwezi eeeh, hebu nicheki kwanza alaaaaaah........Mashabiki wa miondoko ya Zanzibar Stars wakiachia uwanja kuwapisha wapinzani.



He sijui mijibaba inaniona? kujilemba kote huku......
Hii kwanza ni test siachiimiuno kwanza nicheki kama mijibaba ipo humu ndani?
Mwimbaji wa Kundi la Taarab la Zanzibar Stars, Zubeda Mlamali, akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa onyesho maalum la kutambulisha albam mpya na mafanikio ya kundi hilo tangu lilipoanzishwa, lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.