Wafanyakazi jiji waliojitambulisha kwa jina mojamoja, Pwagu (aliye ndani ya gari) na Tall, wakipakia mwili wa mtu ambaye hakuweza kufahamika, uliokutwa katika makaburi ya Sinza leo mchana. Imedaiwa mtu huyo aligundulika baada ya kusambaa kwa harufu iliyoanza juzi na kugunduliwa na watu waliofika maburini hapo kwa ajili ya kuzika na kusikia harufu iliyowashitua na kuanza kuzunguka makaburini humo na kuukuta mwili huo ukiwa tayari umeshavimba ukianza kuharibika huku ukitoa harufu, ambapo walitoa taarifa kwa Mkuu wa kituo cha Polisi Mabatini aliyefika eneo la Tukio na kushuhudia ukiondolewa na wafanyakazi hao wa Jiji.
MWANAFA AZINDUA LIGI YA RAMADHANI DAR, AAHIDI MAPINDUZI YA MIUNDOMBINU
-
SERIKALI imesisitiza dhamira yake ya dhati ya kuigeuza sekta ya michezo,
hususan mpira wa kikapu (Basketball), kuwa chanzo kikubwa cha uchumi na
ajira k...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment