Mlezi wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akijaribu kupiga picha Ikulu Dar es Salaam jana kwa kutumia kamera ya mpiga picha wa Jambo Leo, Richard Mwaikenda (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa sherehe za kuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Malawi na makatibu tawala mkoa wanne.
MAKAMU MWENYEKITI INEC NA WAJUMBE WA TUME WAMTEMBELEA RC SONGWE
-
*Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani
(Mst) Mbarouk Salim Mbarouk leo Februari 19, 2026 akiwa na Mjumbe wa Tume,
Mhe. ...
14 minutes ago
No comments:
Post a Comment