Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini, Fatuma Ndangiza (katikati) na Mshauri Balozi (1st. Counsellor) Shakilla Umutoni, kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao, yaliyofanyika ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo mchana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
VITA YA KIUCHUMI: TRA YAZIAMURU BANDARI KAVU KUFANYA KAZI SAA 24 KULINDA
MAPATO
-
KATIKA kile kinachoonekana ni muendelezo wa mapambano ya kuimarisha uchumi
wa Taifa, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma
Mwen...
55 minutes ago
No comments:
Post a Comment