Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Wazee wa Tumbatu mara baada ya kuwasili katika bandari ya Tumbatu, kuhudhia maulid ya kila mwaka ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W). iliyofanyika katika msikiti wa Ijumaa Tumbatu Gomani. Picha na Ramadhan Othman, Tumbatu.
Dereva Taxi Ajishindia Mazda CX-5 Katika Kampeni ya “Mwaka Umenyooka na My
Airtel Money App” Baada ya Muamala wa TZS 1,000
-
Dar es Salaam, Februari 20, 2026
KAMPUNI ya Airtel Tanzania imemkabidhi gari jipya aina ya Mazda CX-5 Bw.
Shakuu Joshua, dereva taxi mwenye umri wa m...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment